| Anza nasi kilimo Tech Sanaa upate faida zaidi. |
Kilimo Tech sanaa
Ni blog maalumu kwajili ya kutoa mafunzo na huduma ya kutatua changamoto za kilimo mseto Cha Technolojia Bunifu.
Ijumaa, 18 Machi 2022
Alhamisi, 17 Machi 2022
Kilimo Tech Sanaa
Ni blog na apps mahususi iliyotengenezwa na kampuni ya Baso Co.Ltd yenye watalaamu waliobobea katika uzalishaji wa Tija kilimo, mifugo na uvuvi mseto kwa kutumia Technolojia ya mzunguko wa maji.Wenye lengo la kumsaidia mkulima kufikia ndogo zake kwa kukuza kipato chake kupitia mafunzo katika blog hii na app ya Kilimo Tech Sanaa.Ambapo mdau wetu atapata huduma ya karibu ya mafunzo na vifaa vya kilimo na mifugo vya kisasa vinavyotumiwa katika mazingira tofauti tofauti ili kuweza kuendana na mahitaji ya mdau wa uwekezaji wa kilimo mseto nchini Tanzania na kuruhusu fursa na kuondokana na changamoto za uzalishaji wa Tija.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia
Whatsup namba ;+225676019504
Email; blueagriqsolution@gmail.com
Instagram page;Baso Group
Facebook Page ;Baso Co.ltd
Kwa lengo la kupata huduma zetu za uhakika nchini zima katika uuzaji wa bidhaa za kilimo mseto asili kisicho tumia kemikali yoyote wala mbolea ya chemical kwa afya ya wateja wetu.
Kuku chotara
Jipatie vifaa vya kuku chotara kwa bei nafuu Anza nasi kilimo Tech Sanaa upate faida zaidi.
-
Ni blog na apps mahususi iliyotengenezwa na kampuni ya Baso Co.Ltd yenye watalaamu waliobobea katika uzalishaji wa Tija kilimo, mifugo na ...
-
Jipatie vifaa vya kuku chotara kwa bei nafuu Anza nasi kilimo Tech Sanaa upate faida zaidi.
