Powered By Blogger

Alhamisi, 17 Machi 2022

Kilimo Tech Sanaa

 Ni blog na apps mahususi iliyotengenezwa na kampuni ya Baso Co.Ltd yenye watalaamu waliobobea katika uzalishaji wa Tija kilimo, mifugo na uvuvi mseto kwa kutumia Technolojia ya mzunguko wa maji.Wenye lengo la kumsaidia mkulima kufikia ndogo zake kwa kukuza kipato chake kupitia mafunzo katika blog hii na app ya Kilimo Tech Sanaa.Ambapo mdau wetu atapata huduma ya karibu ya mafunzo na vifaa vya kilimo na mifugo vya kisasa vinavyotumiwa katika mazingira tofauti tofauti ili kuweza kuendana na mahitaji ya mdau wa uwekezaji wa kilimo mseto nchini Tanzania na kuruhusu fursa na kuondokana na changamoto za uzalishaji wa Tija.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia

Whatsup namba ;+225676019504

Email; blueagriqsolution@gmail.com

Instagram page;Baso Group

Facebook Page ;Baso Co.ltd 

Kwa lengo la kupata huduma zetu za uhakika nchini zima katika uuzaji wa bidhaa za kilimo mseto asili kisicho tumia kemikali yoyote wala mbolea ya chemical kwa afya ya wateja wetu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Kuku chotara

Jipatie vifaa vya kuku chotara kwa bei nafuu Anza nasi kilimo Tech Sanaa upate faida zaidi.